Ubunifu ndani ya bunge unaweza kuleta ajira na kujenga uzalendo

Ubunifu ndani ya bunge unaweza kuleta ajira na kujenga uzalendo

Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
1,767
Reaction score
470
Spika na wabunge wanaweza kuwa mfano katika kutengeneza, kuchochea ajira, kazi na ubunifu ndani ya tanzania

Sasa kama changamoto badala ya kuvaa suti tu bungeni ambazo nyingi zimetengenezwa majuu. kwa nini spika asifanye siku angalau moja iwe ya kuvaa vazi la vitenge kwa wabunge wanaume na wanawake.

Naamini kwa sheria hii kuna ajira zitaongezeka, ubunifu , na tutakuza uzalendo pia. Zaidi ya hapo wabunge watakuwa mafano wa kuwafanya wanachi wapende bidhaa zilizotengenzwa nyumbani. Na hata kama mavazi haya ya vitenge hayatakuwa ya tanzania basi yatakuw ya afrika.

Nawasilisha
 
nafikiri ni wazo zuri na katika kuboresha hilo tunaweza pia tukabuni vazi la taifa ambalo litatokana na bidhaa zetu za hapa hapa bongo na wajasiriamali wakanaufaika wabunge wana uwezo sana.
 
Back
Top Bottom