Ubunifu Tizama Weka Maoni Yako

Je umefikiria siku zege likikatika maafa yatakayotokea!?
 
Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure.

Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapoView attachment 1794134
Ni vyema ungejua mchanganuo wake mpaka kukamilika chaweza tumia kiasi gani ili ujue unafuu wa gharama maana hoja ni unafuu.

Sasa jiulize, kitanda cha mbao ama cha chuma cha ukubwa huo ama kitanda hicho kipi bei unafuu???

Kipi kinatumia mahitaji mengi na gharama kiasi gani mpaka kukamilika walau kwa makadirio tu??


Hebu tazama vizuri, zege, mchanga, kokoto, nondo, malipo ya fundi, tiles, cement na matofali.
 
Faida yake sio kutumia zege badala ya mbao, faida ni kuwa inachukua eneo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…