Ubunifu: Ushonaji wa sketi

Ubunifu: Ushonaji wa sketi

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Habari wanajukwaa;

Naomba kujuzwa wapi naweza kupata kitambaa kama cha mpira niweze kushona sketi kwa ajili ya sketi fupi (penseli).
Maana nataka nibuni sketi nikajaribu kufanya biashara. Naskia Dar es salaam inawezekana lakini sijajua Dar sehemu gani.
Sihitaji vitambaa special itakua cost sana.
 
Back
Top Bottom