Ubunifu; vitanda vya pallets (chaga za kubebea mizigo mizito)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena
Kwa malighafi zilizopo na ubunifu unaoongezeka kila uchao tunafaidika na mengi kila uchao..
Hapa Leo ni ubunifu wa vitanda vya mbao kwa kutumia pallets (chaga zilizokwisha tumika)

Licha ya vitanda .. Kwa ubunifu huo huo pallets zinaweza pia kutengeneza vufuatavyo
Uzio (fence)
Bustani za maua (flower gardens)
Makochi
Meza
Viti
Na marembo mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…