Nilijua tu. Huu msosi 👆
Yes! Hapo kasoro nnayoiona ni kukosekana kwa "cha kushushia" i.e. Zile "....Lite"
Insitwaje hii?!
Hiyo formula ni valid huko kwenu Das'lama. Huku vijijini tunakupigia hadi tano (5) ila kwa chai ya rangi yenye viungo na limao.View attachment 3252382 high nani alitoa hii formula ya supu na chapati 2? Moja hushibi tatu humalizi!