The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Sep 14, 2012 #21 snowhite said: pia kuna tende na maziwa ,unaviblend pamoja!matokeo yake hata dozi ya wiki humalizi! Click to expand... tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki?
snowhite said: pia kuna tende na maziwa ,unaviblend pamoja!matokeo yake hata dozi ya wiki humalizi! Click to expand... tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Sep 14, 2012 #22 Kaunga said: Tena kuku mwenyewe awe jogoo mchanga; duh yaani unarudi kama ulivyokuwa 16yrs! Click to expand... mnhhhh is it so?
Kaunga said: Tena kuku mwenyewe awe jogoo mchanga; duh yaani unarudi kama ulivyokuwa 16yrs! Click to expand... mnhhhh is it so?
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,351 Sep 14, 2012 #23 Pole maaana huo ulikua upungufu wa supu mwilini kaka sio lazima mamsapu apike supu nenda hata baa hivyo vitu vinapatikana tu menu inasaidia kwenye hivi vitu kaka
Pole maaana huo ulikua upungufu wa supu mwilini kaka sio lazima mamsapu apike supu nenda hata baa hivyo vitu vinapatikana tu menu inasaidia kwenye hivi vitu kaka
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,065 Reaction score 24,559 Sep 14, 2012 #24 The Boss said: tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki? Click to expand... dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta!
The Boss said: tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki? Click to expand... dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta!
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,133 Sep 14, 2012 #25 snowhite said: dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta! Click to expand... Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria
snowhite said: dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta! Click to expand... Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 402 Sep 14, 2012 #26 Gerrard said: Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria Click to expand... Nami nimepata kitu kipya hapa.
Gerrard said: Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria Click to expand... Nami nimepata kitu kipya hapa.
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 207 Sep 14, 2012 #27 hapa ni hazina