Ubunifu wa mavazi

Ubunifu wa mavazi

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
28
Habari wakuu,binti yangu anataka kuwa mbunifu wa mavazi,elimu yake ni form six, je nimpeleke kozi gani itayomfaa??? Msaada tafadhali
 
Siku hizi wala huhitaji hata kumpeleka kozi kama yuko vizuri upstairs aingie tu mtandaoni na kuangalia sana vipindi vya mavazi

Jr[emoji769]
 
Nilidhani itambidi aende veta na kusomea ufundi cherehani na mengineyo huko??
 
Back
Top Bottom