ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo pia nilisoma sana kiini cha vita congo kuufatilia kiundani historia ya mgogoro wa congo sasa leo nikajipata kidogo chaguo likawa ninywe Nini kati ya IMAGE WINE AU BLACK AND WHITE AU VICEROY NIKADONDOKEA KWA VICEROY NAOMBA MODS MAADA YANGU MUIACHE ..
Anyway na me nikaona nije na hii wedding party kumbe unaweza kufanyia hata porini sio lazima venue za kukodi.Mnasemaje hapo ukaenda zako porini na jenereta lako ukaliweka mbali taa kama hizo na katoilet kadogo ka temporary mambo ikawa nzuri kabisa..kwa huku kusini nilipo napendekeza maeneo ya kufanyia ni katika misitu ya ndanda,nyangao,rondo,rutamba,nandete,Ila kama ukipata maeneo yenye mfanano na lushoto aisee utapenda.
Naam thread ndo inakwenda hivyo kwa hisani ya VICEROY
Nakala kwa Mshana Jr