[emoji419][emoji375][emoji173]Ahsante sana kwa uhamasishaji na uelimishaji vijana wetu na sisi wazazi wao ili tuwakumbushe na kuchochea tunu na vipawa walivyozaliwa navyo. Wakivitambua na kuvitumia watafanikiwa kwa hakika kila vigeukapo. Mithali 17:8