TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
1.Wa kwanza ataiongoza timu hiyo kwenye mashindano ya 2019 CAF Africa Cup of Nations Qualifiers.
2.Wa pili atahudumu timu hiyo hiyo kwenye mashindano ya 2018 CAF Africa Championship, na (CHAN)
3.Wa tatu naendelea kuifundisha timu hiyo ya taifa la Zimbabwe kwenye COSAFA Cup side huko SA.
Kumbuka ZIFA haijamtimua rasmi kocha wake aliyeifundisha timu ya Taifa ya Zimbabwa aliyekuwa na timu hiyo mapema mwaka huu kwenye 2017 AFCON in Gabon.
-------
Ubunifu huu umewashangaza wengi, kufikia mtandao nilipochota habari hii kuiita TFF ya Zimbabwe kama iliyochanganyikiwa.
Msomaji unakubali, ZIFA, imechanganyikiwa kwa kuja na ubunifu huu? Toa sababu.
==========
Wednesday Jul 05, 2017. 14:30
Latest information coming through to AfricanFootball.com is that the Zimbabwean Football Association has appointed three national team coaches to lead the Warriors in three different tournaments.
Reports reveal that ZIFA have decided to appoint Norman Mapeza as a coach to lead the team during the 2019 CAF Africa Cup of Nations Qualifiers.
Rahman Gumbo has been handed the reins to lead the side in the 2018 CAF Africa Championship (CHAN) whilst Sunday Chidzambwa is in charge of the COSAFA Cup side.
It is reported that ZIFA have not formally replaced Kalisto Pasuwa, who left the national team job after their exit from the 2017 AFCON in Gabon earlier this year.
Confused ZIFA appoints three coaches - 2019 Africa Cup of Nations Qualifiers