Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Good Morning,
Shaloom wana wa JF,Nilikuwa natamani sana kuInstall Ubuntu au Linux Mint kwenye Laptop yangu sasa tatizo Laptop hiyohiyo ndio nayoitumia kwa kazi za kiofisi,Na System ninayotumia iko Compatible na Internet Explorer pekee.Sasa naweza kuIntall Internet Explorer baada ya kuweka any of those 2 OS's.
Reggard,
Rural Swagga.
Habari?
Naomba kufahamu kuhusu hiyo laptop yako, kama ina Drives zaidi ya moja.. Inawezekana kabisa kuweka OS nyingine katika laptop yako.
Kama una partition zaidi ya moja, ondoa data zako katika partition (Drive) ya ziada, ambayo ndo uta-install ubuntu yako (Hope u gonna install ubuntu 10.0.4)..
Kama una partition moja tu, haitawezekana unless uweke Virtual PC.. Kwa bahati nzuri I did the same thing to my System, I have installed Ubuntu 10.0.4 and window 7 in the same hard disk...
Salama ndugu,Yap nina Partition zaidi ya moja ila nisingependa kuweka 2 OS's,Nilikuwa nahitaji msaada kwamba nitawezaje kuInstall Internet Explorer??Kwa sababu nataka niweke Ubuntu au Linux pekee
Good Morning,
Shaloom wana wa JF,Nilikuwa natamani sana kuInstall Ubuntu au Linux Mint kwenye Laptop yangu sasa tatizo Laptop hiyohiyo ndio nayoitumia kwa kazi za kiofisi,Na System ninayotumia iko Compatible na Internet Explorer pekee.Sasa naweza kuIntall Internet Explorer baada ya kuweka any of those 2 OS's.
Reggard,
Rural Swagga.
Mosley said:Kama una partition moja tu, haitawezekana unless uweke Virtual PC.. Kwa bahati nzuri I did the same thing to my System, I have installed Ubuntu 10.0.4 and window 7 in the same hard disk...
Nilikuwa nahitaji msaada kwamba nitawezaje kuInstall Internet Explorer??Kwa sababu nataka niweke Ubuntu au Linux pekee
Install ubuntu (Recommended 10.04)Internet Explorer ni Windows only.
Install ubuntu (Recommended 10.04)
Install wine (sudo apt-get install wine)
Download and install IE
Au unaweza tumia shortcut
Fungua terminal (start->Accessories->terminal)
cd /home/USER_NAME/Downloads
wget http://www.kegel.com/wine/winetricks
sh winetricks ie7
see:
winetricks - The Official Wine Wiki
Good Morning,
Shaloom wana wa JF,Nilikuwa natamani sana kuInstall Ubuntu au Linux Mint kwenye Laptop yangu sasa tatizo Laptop hiyohiyo ndio nayoitumia kwa kazi za kiofisi,Na System ninayotumia iko Compatible na Internet Explorer pekee.Sasa naweza kuIntall Internet Explorer baada ya kuweka any of those 2 OS's.
Reggard,
Rural Swagga.
script ya winetricks kama sijasahau ina option ya kuinstall visual studio so, VB is very possible. Lakini kama lengo ni kutumia .NET kwa nini usitumie Mono?Ok kumbe inawezekana kuchakachua baadhi ya product a bilgateskama VB zitumike ndani ya ubuntu thanks for info
Mkuu samahani nakuona bado upo nyuma unataka ( kuInstall Internet Explorer) Kwenye UBUNTU? mimi nimeisahau hiyo ( kuInstall Internet Explorer) inafika hata miaka 5 Tangu nilipopata :MozilaFireFox an Google chrome.Nimekwisha kusahau kuwa kama kuna kitu kinaitwa ( kutumia Internet Explorer )Salama ndugu,Yap nina Partition zaidi ya moja ila nisingependa kuweka 2 OS's,Nilikuwa nahitaji msaada kwamba nitawezaje kuInstall Internet Explorer??Kwa sababu nataka niweke Ubuntu au Linux pekee