nimejioneaHako kanajiuza mkuu
Eee baby haya mambo sio ya kupangiana mudaBaby wangu una ulimi Wa upanga moyo wangu umeshtuka my bhasi ruksa ukitaka
[emoji38] [emoji38]Sawa baby ukienda sokoni pitia mihogo mibichi na karanga
Baby basi haya ni yakuongelea chumbaniKumbe nn baby ndo nijaze kikombe
Jiandae kusaidiwa majukumu kwa kubania utamu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Utamaliza utamu sasa kwa kuuzoea dhahabu ghali kisa haipatikani kirahisi
Akizingua unamdump....kwani na wewe si wanakuhitaji wengi.Huyu si anao wengi ndio mana ananipangia mimi
......Shilawaduuu
We muache...bahati yake nampenda yeye tuAkizingua unamdump....kwani na wewe si wanakuhitaji wengi.
....y kuambiwa achanganye na yekemmh usimfundishe baby wangu tabia mbaya