mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo poa
Haha nakuona nakuonaaa umekuja kula ubuyu....alafu uliniambiajeNipo mkuu, nakuona kwenye jukwaa pendwa la ubuyu
Hehehe hapa niko internet cafe nimebakiza robo saa nisepeHaha nakuona nakuonaaa umekuja kula ubuyu....alafu uliniambiaje
Uache jf ufe[emoji23]
Haya fanya haraka mana unatujazia serverHehehe hapa niko internet cafe nimebakiza robo saa nisepe
Hehe nilisemaje kwani mkuu?Haha nakuona nakuonaaa umekuja kula ubuyu....alafu uliniambiaje
Uache jf ufe[emoji23]
Me thijuiiiiiiHehe nilisemaje kwani mkuu?
Hehehe aisee, mkuu umenichoka?!Haya fanya haraka mana unatujazia server
Haha jf is the place where happiness foundMe thijuiiiiii
Mmmh kwaiyo ulikua unajishaua nn haupo jfHaha jf is the place where happiness found
Nilikuwa serious mkuuMmmh kwaiyo ulikua unajishaua nn haupo jf
Mkuu cjakuelewaUbuyu Wa motomoto ile aga ya miss natafuta kumbe yule jamaa Wa vyura behaviorist ndio kampiga block
Eti inasemekana miss kapewa sharti kama anataka ndoa bhasi abanduke jf
Eti behaviorist baada ya kushuhudia mzigo Wa miss hataki kusikia lijamaa likiomba mzigo huo
Yote haya ni tetesi tu zinazo trend majukwaani