Ni habari njema kuliko waendelee kuzini bora wafunge ndoaMkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.
sema m sifatiliagi sana mambo ya ubuyu ubuyuKwani wewe ni wawapi mkuu?
clouds hakuna ethicsWork ethics zitafuatwa kweli?
Pole sana!sema m sifatiliagi sana mambo ya ubuyu ubuyu
Mungu awape kheri na mapenzi Sikh zote.Mkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.