Haya ndugu wana Jf, mwanza zile bifu za muungano tuzieke pembeni mana kuna watu wanasusia bidhaa kwasababu tu inatoka upande mmoja!! (joking :-D)
Haya serious sasa:
Kwa wale wapenzi wa ubuyu hasa hasa kina dada zetu, nauza ubuyu wa kizenjy:
Ubuyu packet 1 ni 2000tzs
Ubuyu packet 50 ni 1700/per
Proposal pia is welcomed katika pm, jamani tuwe serious!
Ni mtamu sana mashallah!
Nitaweka picha nkiwa nko pazuri
Kama alivyosema mdau hapo juu huo ubuyu unatoka Dododma na unapelekwa na Wapemba Zenj(?) kukarabatiwa,ingawa siamini huyu jamaa ni Mzenj na yupo Dar ila anautia nakshi za kizenj huo ubuyuchilubi,naomba niulize,huu ubuyu wa zenji kwa nini ni mtamu zaidi?ni variety tofauti na zinazopatikana huku bara au zinaongezewa "mbwembwe" za kizenji?