Ubuyu wa Zanzibar

MimiT

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
599
Reaction score
388
Kama kuna mtu yoyote anayejua jinsi ya kutengeneza ubuyu ule wa rangi wenye pilipili wanauita ubuyu wa zanzibar anielekeze pls
 
Hauitwi wa Zanzibar kwa ajili ya rangi na pilipili,huo unaotengenezwa Zanzibar ni mzuri sana ndo maana umepata umaarufu,kila mahali wanatengeneza huo ubuyu wa rangi ila sio mzuri kama wa Zanzibar.Kwakweli sijui jinsi unavyotengenezwa.
 
Unatengenezwa znz kwa babu issa kama mtu unataka kujifunza ana charge laki moja kwa wiki...
 
MziziMkavu okoa jahazi tafadhali.........na amu upo wapi...waite dada zako huku ujuzi pleaseeeee
 
Last edited by a moderator:
Duh..mtu atoke mwanza kwenda zanzibar akajifunze kutengeneza ubuyu kwa laki moja
 
ngoja niende kumuuliza yule dada wa magomeni somanga wauzaji wa ubuyu wa vimto..
 
Kuna mama mmoja anapitaga mtaani anauza ubuyu. Nimemuomba anielekeze amegoma.
 
Ina maana nyie Wazanzibar wenzangu hampo au dharau? Kwa hisani yenu tuelekezeni jamani, mana wengine sie tuna mimba changa so plzzzzzzz jamani,

Wallah mi huu ubuyu najua kuula tu lkn sijui wanaupikaje.

Basi huo wa babu issa ndo hausemeki, mzuri sana. Na kusema kweli wanauza sihaba. MashAllah
 
I hv n idea..unateleka maji glas moja na sukari nusu kg unatengeza shira. Unaweka tangawizi kidogo na pili manga , arki unayopenda potessa, vanilla au yyt. Jinsi yakuijua km imewiva chukua kibakuli weka maji kidogo halafu weka tone la shira ndani ya kibakuli likichawanyika haijawiva km litaenda chini moja kwa moja itakua imewiva..unachanganya na mabuyu yako uliyochambua unapeta peta hadi yanakauka. Wengine wakati wa kupeta hapa huongeza sukari kidogo iliosagwa....recipe ya babu issa hii......kiding@
 

Hahahahaha eti recipe ya babu issa lol....sio ya kiponda?
 
Hahahahaha eti recipe ya babu issa lol....sio ya kiponda?
Was kiding my dear.....hao wajuzi hua hawatoagi siri cjui wanaogopa mtu akiiga wataua biashara....everyone is nt farkhina....hahaha asante mamii kwa kutuekea wazi mapishi tofauti... nasubiria ya uhindini....lols
 
Ilinibidi nifike hadi pale kiponda nijionee mwenyewe. Afu siku hizi wanazidi kupandisha bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…