Ubwabwa waua 1 wengine 40 hoi

Ubwabwa waua 1 wengine 40 hoi

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Mtu mmoja amefariki na wengine 40 wakiwa wamelazwa hospitali baada ya kula ubwabwa nyama na kunywa togwa kwenye mnuso huko Iringa. Inasadikiwa kinywaji au mlo ulikuwa na sumu.
Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 


Jungu la ubwabwa hilo
 
Watu wanaongelea mapenzi, wewe unaleta stori za ubwabwa!!!
 
vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu
 
Hahahahahahaha ubwabwa noma.

Lakini hii ilitakiwa kwenda kwenye habari mchanganyiko!
 
Back
Top Bottom