TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Jul 23, 2012 #1 Mtu mmoja amefariki na wengine 40 wakiwa wamelazwa hospitali baada ya kula ubwabwa nyama na kunywa togwa kwenye mnuso huko Iringa. Inasadikiwa kinywaji au mlo ulikuwa na sumu. Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
Mtu mmoja amefariki na wengine 40 wakiwa wamelazwa hospitali baada ya kula ubwabwa nyama na kunywa togwa kwenye mnuso huko Iringa. Inasadikiwa kinywaji au mlo ulikuwa na sumu. Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
S secret.curtis New Member Joined Jul 23, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Jul 23, 2012 #2 hEhEhEhE.....UbWbWaaaaa kaZi ipO
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Jul 23, 2012 Thread starter #3 Jungu la ubwabwa hilo
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Jul 23, 2012 #4 Watu wanaongelea mapenzi, wewe unaleta stori za ubwabwa!!!
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Jul 23, 2012 #5 vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu
vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,374 Reaction score 6,857 Jul 23, 2012 #6 Mods hadi mchana mnapiga usingizi?
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Jul 23, 2012 #7 Hahahahahahaha ubwabwa noma. Lakini hii ilitakiwa kwenda kwenye habari mchanganyiko!
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 416 Jul 24, 2012 #8 Duh, pole Yao ....
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 8,967 Reaction score 8,547 Jul 24, 2012 #9 kisukari said: vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu Click to expand... Unaelekea mtu wa maturubai sana we dada.
kisukari said: vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu Click to expand... Unaelekea mtu wa maturubai sana we dada.