Kwa ambao wameconnect na CCNP, ORACLE na CCNA.
Wakuu, ambao mnategemea ku apply bachelor degree in IT kwa miaka 4 ambayo wameconnect proffesional course ambazo ni
1.ccna
2.ccna security
3.oracle databases system
4.ccnp
5.ccnp security
6.java certifications
mafunzo haya yatafanyika kijitonyama kwenye majengo ya kijitonyama...na kuhusu ku apply una apply through TCU...
source;nasoma short course ucc..ndo nimekutana na hili tangazo....