getrude furahia
Member
- Nov 26, 2014
- 31
- 1
Kutobreed ni moja ya uthibitisho dawa imekubali...kutoka uchafu ni moja pia kati ya maudhi ya depo ...yapo mazuri na mabaya mengi ni vyema ungeyajua kabla ya kuchoma pia kama umechoma pia unaweza kuyatafuta ukayapata kama itakudhuru huna budi kukubali kwani baada ya miezi mitatu utarecover(dawa kuisha nguvu) ingawa inaweza kupitiliza...ushauri wangu tafuta mshauri na mtaalamu wa afya ya uzazi aliye karibu nawe au nitafute range.emmanuel@yahoo.com
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ni kawaida sio kwa wanaotumia depoprovera injections tu hata njia nyingine za uzazi wa mpango kama implatants,spiral n.k na ni kwasababu hupati mzunguko wa hedhi wa kawaida kwahio unapata spots na inakuwa kama damu chafu inayotoka!
hizo ni side effect zake ila uende kumuona mtaalam wa masuala ya uzaz akupe mwangaza zaidi
nilivyoona depo mie nikazani sijui depo gani huko,agaah kumbe nidepo sindano nilikua sijui mie but my time will tell nikifika huko lol
Ahhha ulijua ccp nini??? Me pia sjafikia ila niliwah pewa elimu ya hiz mambo na haishauriw kama hujazaa hata mtoto mmoja
Nakusihi sana. Nenda hospital mara moja. Hizo sindano hazikufai. Inaonekana ilipigwa kabla ya kufanyiwa uchunguzi yakinifu.
pole mdada! ndo ukubwa huo tena! ila ni vitu hatar sana njia salama zaid ni KALENDA tu..!
ila kama ur hubby ni muelewa na hatumii stimulators..!
mwenzangu weacha tu,nilijua alichomwa sindano akiwa depo ndo ikawa ya msababishia kuwa katika hali hiyo ila nilivyosoma uzi nikaelewa