Uchafu kwenye kizazi nini tiba yake

Uchafu kwenye kizazi nini tiba yake

Joined
Aug 10, 2013
Posts
76
Reaction score
7
Kuna dada anasumbuliwa na ugonjwa huo unampelekea kuwashwa sana mwili anavimba akijikuna ashapewa dawa hospitali lakini hajapona.
 
Umejuaje kama uchafu katika kizazi unapelekea huyo dada kuwashwa na mwili?Unamaanisha nini ukisema uchafu kwenye kizazi?Hana allergy au uzio wa kitu chochote?
 
yaan alivyokwenda hospital aliambiwa kuwashwa huko kunaweza ikawa sababu n huo uchafu
 
Mkojo mchafu au uchafu kwenye kizazi? Na je amewahi kutoa mimba recently?
 
Back
Top Bottom