A Abuu Bardizbah Member Joined Aug 10, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Apr 1, 2014 #1 Kuna dada anasumbuliwa na ugonjwa huo unampelekea kuwashwa sana mwili anavimba akijikuna ashapewa dawa hospitali lakini hajapona.
Kuna dada anasumbuliwa na ugonjwa huo unampelekea kuwashwa sana mwili anavimba akijikuna ashapewa dawa hospitali lakini hajapona.
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Apr 3, 2014 #2 Umejuaje kama uchafu katika kizazi unapelekea huyo dada kuwashwa na mwili?Unamaanisha nini ukisema uchafu kwenye kizazi?Hana allergy au uzio wa kitu chochote?
Umejuaje kama uchafu katika kizazi unapelekea huyo dada kuwashwa na mwili?Unamaanisha nini ukisema uchafu kwenye kizazi?Hana allergy au uzio wa kitu chochote?
A Abuu Bardizbah Member Joined Aug 10, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Apr 3, 2014 Thread starter #3 yaan alivyokwenda hospital aliambiwa kuwashwa huko kunaweza ikawa sababu n huo uchafu
Access Denied JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 655 Reaction score 210 Apr 3, 2014 #4 Mkojo mchafu au uchafu kwenye kizazi? Na je amewahi kutoa mimba recently?