Mgonjwa wangu anasumbuliwa na mgongo juu ya kiuno kidogo alipiga xray wakamwambia pingili azina shida ila ana uchafu pembeni ya uti wa mgongo dawa kamaliza ila bado anapata maumvi je hii utokana nini na tiba yake asanten sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.