phanta Member Joined Aug 14, 2014 Posts 59 Reaction score 15 Nov 10, 2018 #1 Mgonjwa wangu anasumbuliwa na mgongo juu ya kiuno kidogo alipiga xray wakamwambia pingili azina shida ila ana uchafu pembeni ya uti wa mgongo dawa kamaliza ila bado anapata maumvi je hii utokana nini na tiba yake asanten sana
Mgonjwa wangu anasumbuliwa na mgongo juu ya kiuno kidogo alipiga xray wakamwambia pingili azina shida ila ana uchafu pembeni ya uti wa mgongo dawa kamaliza ila bado anapata maumvi je hii utokana nini na tiba yake asanten sana
faru john junior JF-Expert Member Joined Dec 26, 2016 Posts 1,596 Reaction score 1,719 Nov 12, 2018 #2 Tunavoelekea mwisho wa dunia kutakuwa na maradhi yasiyo elezeka na hata tiba hazieleweki mungu tupe mwisho mwema
Tunavoelekea mwisho wa dunia kutakuwa na maradhi yasiyo elezeka na hata tiba hazieleweki mungu tupe mwisho mwema
Wikulwe Member Joined Jun 27, 2018 Posts 28 Reaction score 21 Nov 12, 2018 #3 Mwambie akapime kipimo cha CSF hospital anaweza pata majibu sahihi,