Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Hahaaaa ka sufuria umenichekesha. Wengi husugua papuchi ka miguu vile na hivi MTU mjamizito immunity hupungua mno. Aende hospital kabla kijacho hakijapata majangahizo ni infections za fungus ukeni.aache kuosha mbunye km anasugua sufuria na kuingiza masabuni ndani mbaya sana hyo.aende hosptl
Wakati wa ujauzito inatokeaga hivo, kunakua na fungus wengi, aende hospital mpate ushauri zaidi
Wakati wa ujauzito inatokeaga hivo, kunakua na fungus wengi, aende hospital mpate ushauri zaidi
Haina uhusiano na kutunza papuchi, kipindi cha ujauzito kinga zinashuka fungus zinaongezekaNawe yashakukuta haya Evelyn Salt!? Sio wewe uliyewahi kuleta Mada hapa JF inayohusu "Utunzaji Sahihi wa Mbunye ili kuepukana na Fungus"