mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 587
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Quite agree with you! Na pia huenda anatumia contraceptive tofauti na huko nyumaNo cause for concern young man, kwani anapata maumivu au muwasho? Wewe je unapata muwasho?
Hizo ni secretions tu zinazotokana na yeye kuwa stimulated,, nothing more. Usitafute mchawi, naona watu wanakupoteza humu. Tofautisha when a woman is having a fungal infection (muwasho, maumivu, kutoa uchafu constantly),, and when a woman is simply "creamy". Za kuambiwa changanya na zako
Kuna dalii ya ukweli hapa.Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.
Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.
Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.
Bios-f2. Hahah
Nilimaanisha hili mkuu ila wamenishambulia mno.... Kama hakuna muwasho wowote na inatokea wakati wa Tendo is it always fungi??? ANGALIZO..mimi sio mtaalam wa afyaNo cause for concern young man, kwani anapata maumivu au muwasho? Wewe je unapata muwasho?
Hizo ni secretions tu zinazotokana na yeye kuwa stimulated,, nothing more. Usitafute mchawi, naona watu wanakupoteza humu. Tofautisha when a woman is having a fungal infection (muwasho, maumivu, kutoa uchafu constantly),, and when a woman is simply "creamy". Za kuambiwa changanya na zako
Mimi sio mtaalam wa afya mkuu sina nia ya kupotosha na nilimaanisha Mucus na siyo uchafu mwingineo
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.
Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.
Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.
Bios-f2. Hahah
Vaginal Infection
The worst kind of infections to afflict a woman must be vaginal infections. They are annoying, painful and terrible to suffer from.
As if that is not enough, the woman undergoes so much embarrassment and awkwardness when it comes to explaining why she is feeling so upset and uncomfortable. No one seems to understand. It is considered a taboo.
All the women and even the men reading this have to understand that vaginal infections do happen. It is normal. One in three women has suffered from this infection before!
It has got nothing to be ashamed of! Vaginal infections can happen to every sort of woman from a virgin to one with multiple sex partners to a faithful wife to a nun. Anyone can suffer from it as long as you have a vagina!
What causes Vaginal infections
These infections are caused by a variety of reasons. The inherent basic cause of the infection is the multiplication of micro organisms in the vicinity of the vagina.
At times, it may be a bacterial growth and others it may a fungal infection. Most of the times, the symptoms for most of the vaginal infections are the same. The cause of the overgrowth of the micro organisms can be just about anything.
The infection will occur as long as the conditions are hot, humid and moist as well as not properly cleaned.
However this does not mean that women who practice the process of rouging do not get infections. The truth is that rouging can actually cause infections by the introduction of bacteria or fungus from the pipe used to the vaginal wall.
As you can now understand, almost anyone and everyone is susceptible to this condition. But the next step is getting the cure done.
Symptoms for vaginal infections usually start off with fever. Vomiting, diarrhea, dizziness, chills and rashes are bound to follow. The woman would have difficulty passing urine and would experience a burning sensation.
It is important to address the issue at the earliest before anything gets out of hand.
There is a form of medicine called Yeastrol which would completely sooth your infection as well as remove it for good.
The major problem with vaginal infections is that they are recurring in nature. The bacteria or fungus never fully leave your vaginal walls and the outbreaks will occur time and again.
This is why Yeastrol is ideal. It removes the infection from the very root of the problem. And if you are concerned about what it is made out of, then you need not worry as it is a completely natural formula and can give you results minus any side effects.
Kwani mke wake anapata maumivu/muwasho au ana homa??? labda tusubiri aje atujib
Bisha wewe unamfahamu? Au ni wewe?Mbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,
Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?
Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
Yaani mimi nimeshangaa sana, upendo unapungua kwa kitu kidogo hivyo na anakuja kumwanika mwenzie hapaMbona wanaume wa siku hizi mmekosa haya hivyo?
Huyo ni mkeo lakini unakuja kuanika aibu zake hapa kweli jamani?
Yani umemuona na hali hiyo kwann usimpeleke hospitali unakuja kuomba ushauri humu ili iweje,
Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini si haya,
Ulishakaa nae chini ukamwambia?
Alishawahi kulalamika unamuumiza?
Akifika kileleni hua anatokwa nini?
Zungumza na mwenzio kwanza achana na mambo ya vijiweni,
Eti UPENDO UNAPUNGUA,
Hovyooooo!!
Kweli wakusaidie tuu maana naona dalili za upotoshaji kiaina.
Ninavojua ni dalili za maambukizo ya njia ya uzazi. Kwahiyo uke unajitahidi kujikisafisha kwa kuzalisha whitish materials ili kupunguza madhara. In a long run asipopata matibabu anaweza akapata ugonjwa wa zinaa.
Ni kama mtu anapopigwa na vumbi nyingi unashangaa mucus(makamasi) yanaanza kutoka. Hii yote ni kujikinga ili kuzuia uchafu usiendelee kuingia kwa kuwa trapped na mucus.
Bios-f2. Hahah
Haya ngoja wataalam watakujibu,lakini sio sahihi ukipatwa na jambo fika hospitali.... Kwani mkeo anawashwa au kutoa harufu...sasa si hajulikani hata mm sijulikani
Inawezekana ndio mwanzo wa infection, atakuwa na vipele ndani kwa ndani ndio vinavyo mpa muwasho. Ni vizuri na fanya haraka sana kumuona doctor, kwa sasa usifanye nae tendo unaweza kuzidisha zaidi, wala usiwe na wasiwasi ni ubinadamu wa kawaida.hana homa ila sometime ana muwasho