Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

Kama ungewez leo sikilz kipnd RFA nadhan saa tatu. na nusu mpka nne kamil usiku kuna dacktar kule amefanua vzr
 
Mtizamo wangu... wanawake wengi saiv wanachangamoto ya uke kuwa mkavu... Na inachukua muda Sana kulainika... So maybe wanapaka vitu huko Kulainisha....pili saiv Kuna hizi vitu vinauzwa Sana mtandaoni kuongeza sijui utamu... Nilimsikia siku dokta mwaka alielezea vina madhara makubwa Sana
 
Nakuhakikishia pasina Shaka Hawa ninaowazungumzia hakuana hata mwenye ujanja wa kupaka viongeza utamu.
 
Kama anafanya mara kwa mara na bado inatoka cream kuna moja kati ya haya mawili:

1.Ni ugonjwa

2.Hafanywi/hakunwi kisawasawa
Je kama Ni ugonjwa,unatibika?

Kama hakunwi kisawasawa,anatakiwa akunweje,
-Kila siku Mara ngapi?

-Kumsugua muda mrefu kwa kila mzunguko mmoja?

Au mitindo tofauti?
 
Je kama Ni ugonjwa,unatibika?

Kama hakunwi kisawasawa,anatakiwa akunweje,
-Kila siku Mara ngapi?

-Kumsugua muda mrefu kwa kila mzunguko mmoja?

Au mitindo tofauti?
1.Kama ni ugonjwa unatibika ukimpeleka/akienda hospitali.

2.Mwanamke huwa hafikishwi kileleni kwa kufanya mara nyingi kwa siku wala kwa kusuguliwa muda mrefu wala kwa style tofautitofauti.Kufanya mapenzi ni ishu ya kisaikolojia zaidi kuliko matumizi ya nguvu.
 
Nani alikwambia huo ni uchafu? 😳
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
 
Uko sawa Mkuu. Hakuna ugonjwa hapo au wakapime na alete mrejesho.
Sio ugonjwa mkuu...yuko horny sana....ni kawaida sana kwa mwanamke na inaonesha ameridhika emotional....I stand to be corrected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…