bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Wacha nilisemee hili,maana limenichosha na kunitia kinyaa.
Haiwezekani unaingia chumbani kwa binti wa karne hii ya 21 unakutana na
vitu vimetapakaa kila sehemu,masufuria yamejaa koyo,miko na sahani zimeng'ang'anaa kwa vyakula vya jana,nguo zimetapakaa kitanda kizima,stove chini ya mvungu wa kitanda,madumu ya maji,viatu nk vyote ndani.Chumba amekigeuza store.
Harufu pekee unayoisikia ni manukato yaliyopuliziwa kwanye mawigi yaliyoning'inizwa ukutani kwenye misumari iliyojaa kutu.
Kiukweli nimechoka kugeuzwa mtu wa kale kwa kulishwa vyakula vya junzi,jana na leo pamoja.Halafu huwa najiuliza huu umaridadi huwa anaotoa wapi? Au wa ku- download nini?
Sent using Jamii Forums mobile app