Uchafu ni hila kwa mwanamke

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
Wacha nilisemee hili,maana limenichosha na kunitia kinyaa.

Haiwezekani unaingia chumbani kwa binti wa karne hii ya 21 unakutana na
vitu vimetapakaa kila sehemu,masufuria yamejaa koyo,miko na sahani zimeng'ang'anaa kwa vyakula vya jana,nguo zimetapakaa kitanda kizima,stove chini ya mvungu wa kitanda,madumu ya maji,viatu nk vyote ndani.Chumba amekigeuza store.

Harufu pekee unayoisikia ni manukato yaliyopuliziwa kwanye mawigi yaliyoning'inizwa ukutani kwenye misumari iliyojaa kutu.

Kiukweli nimechoka kugeuzwa mtu wa kale kwa kulishwa vyakula vya junzi,jana na leo pamoja.Halafu huwa najiuliza huu umaridadi huwa anaotoa wapi? Au wa ku- download nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni wachafu sana asikwambie mtu mi kuna demu nimezaa nae huwa anafika getho yaani akifika nakwambia linakua vururu mpaka najuta yaani anachota maji bila ya kusuuza vyombo yaani duh hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo huyo demu wako ndo una mfananisha na wanawake wote?[emoji58][emoji58][emoji58]

Wtf

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Mi huwa naingia kwa lengo la kudinyana tu huo muda wa kuchunguza kama unatafuta madawa ya kulevya sina.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana! Sijawahi hiyo kitu kwa ghetto ya mdada, sikuwahi kupata mdada akaniruhusu tuchezee uwanja wa nyumbani kwake...
 
Aisee kumbe ndo mnavyoishi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada hebu pitia kichwa cha habari cha mada uone kama kuna dosari mahali!

Nazani inapaswa kuwa “Ila” badala ya “hila”

Ila na hila ni maneno yenye maana mbili tofauti kabisa!

Na kwa maudhui ya mada yako unapaswa kutumia “Ila” badala ya hila!

Kwamba uchafu ni “Ila” badala ya kusema uchafu ni “hila”


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili kina maana nyingi na kwa vile sisi wengine sio wandishi huwa hatuzingatii kila nucta.By the way nimekuelewe ilikuwa iwe "Ila" na si Hila.Writing error
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni wachafu sana asikwambie mtu mi kuna demu nimezaa nae huwa anafika getho yaani akifika nakwambia linakua vururu mpaka najuta yaani anachota maji bila ya kusuuza vyombo yaani duh hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Je umewahi kumuambia? Maana wengine wasipoambiwa kuwa hapa unakosea wala hawashtuki wanaona sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…