Ustaadh JF-Expert Member Joined Oct 25, 2009 Posts 413 Reaction score 19 Oct 29, 2009 #1 Kumezuka tabia ya wananchi kutupa taka mahali popote (mfano kando ya barabara) na tunaona ni jambo la kawaida. Hakuna anayejali kwani tunachukulia kuwa si jukumu letu. Nani alaumiwe na kitu gani kifanyike kuondoa kadhia hii? Attachments _takatakahizo.jpg 46.9 KB · Views: 171
Kumezuka tabia ya wananchi kutupa taka mahali popote (mfano kando ya barabara) na tunaona ni jambo la kawaida. Hakuna anayejali kwani tunachukulia kuwa si jukumu letu. Nani alaumiwe na kitu gani kifanyike kuondoa kadhia hii?
J Jasusi JF-Expert Member Joined May 5, 2006 Posts 11,559 Reaction score 5,472 Oct 29, 2009 #2 Si hulka. Ni tabia. Usafi unafundishika.
Gudboy JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 867 Reaction score 82 Oct 29, 2009 #3 mijitu mingine ni michafu by nature