Uchafu uliokithiri kwa wanaume na wanawake - njooni turekebishane!

Wapo baadhi ya Wanawake wanajali na kitunza miwili yao ipasavyo

Kuna mmoja niliwahi date naye Mwaka 47, alikuwa anaifukiza udi kule Chini

Yaani muda wote inanukia tu

Isingekuwa kutajiwa mahari kubwa, huenda angekuwa Mke wa nne hakiyanani
Wanawake wa zamani walikua wanajua usafi haswa.
Pole kwa kumkosa bibi!
 
U
Hivi hili linauhusiano na kuwa mchafu!
Nadhani ni friction ya nyama za paja.

Vibonge vikitembea mitako miwili limoja mbele limoja nyuma...kama hajaka Vaseline lazima achubuke....na mipaja hivyo hivyo.
Hiyo friction inasababisha ngozi kuwa nyeusi na sio ya kijivu.

Ile kijivu ya kule nyuma inatokana na hy friction ya mataco makubwa ikichanganyikana na maji maji ambayo inakuja kusababisha uchafu na kujenga hiyo rangi ya kijivu.

Ndo mana ile kijivu mara nyingi ipo kwa wanawake wanne/wenye mataco makubwa ila sio kwa wembamba wao unakuta Kuna weusi tuu wa kawaida ila sio wote.
 
Duuh kijivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…