Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Feb 16, 2020 #41 Dah!...
black short JF-Expert Member Joined Nov 16, 2019 Posts 519 Reaction score 974 Feb 17, 2020 #42 Proved said: Dah!... Click to expand... muvi ina miaka saba kasoro ndo unashangaa leo
Dong Jin JF-Expert Member Joined Jun 4, 2018 Posts 968 Reaction score 2,034 Feb 17, 2020 #43 duh hv mleta uzi na wachangiaji wa enzi hizo bado mpo kweli? cha ajabu nini hapo?... aiseee afadhali kipind hicho nilikuwa bado kinda...
duh hv mleta uzi na wachangiaji wa enzi hizo bado mpo kweli? cha ajabu nini hapo?... aiseee afadhali kipind hicho nilikuwa bado kinda...
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,307 Reaction score 2,754 Feb 17, 2020 #44 Raha tupu Sent using Jamii Forums mobile app
J Johnson Fundi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 1,386 Reaction score 1,207 Feb 17, 2020 #45 wajameni whats wrong hapo?!!? si wako location?!? inawezekana ni kipengele kinachohusiana na beach au swiming pool sheraton hotel.ndugu zangu tamaa zenu za mwili zisiwaongoze kuchafua watu wakiwa kwenye kazi zao halali
wajameni whats wrong hapo?!!? si wako location?!? inawezekana ni kipengele kinachohusiana na beach au swiming pool sheraton hotel.ndugu zangu tamaa zenu za mwili zisiwaongoze kuchafua watu wakiwa kwenye kazi zao halali
Tony-stark JF-Expert Member Joined Jul 20, 2019 Posts 1,020 Reaction score 1,334 Feb 19, 2020 #46 Hizi ni movie za tsh million5 ndio wanafanya ujinga huo, Ukute Movie Budget ni mill 80$ unaanzaje kwanza, kazi hazilipi wanaishia kufanya umalaya, Oops kumbe ni bongomovie.
Hizi ni movie za tsh million5 ndio wanafanya ujinga huo, Ukute Movie Budget ni mill 80$ unaanzaje kwanza, kazi hazilipi wanaishia kufanya umalaya, Oops kumbe ni bongomovie.