Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Hamna hata salamu,

Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa.
Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi?

Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi?
Hebu tubadilike.

Watu wamependeza jumapili hii lakini bahari na mazingira mengine ni sifuri kabisa.
Sina haja ya kuweka picha
 
Back
Top Bottom