realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Hii ni Changamoto Kubwa Jamani na usiombe kulazwa ukayaona.
Lakini ukiachilia uchafu pia neti hizo ni ndogo.
Mfano kwa mama na mtoto wake mchanga neti mmeichomeka inawagusa Gusa na hiki kitu kinakera sana.
Usiku kucha neti imewalalia mbu kuwang’ata kuko pale pale.
Sekta ya Afya iangalie hili suala ni kero Jamani.
Ni muhimu kujenga tabia ya kubadilisha neti kila baada ya muda fulani.