Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa jibu lako na ushauri wako mmh nilijua ni kwangu tuHizi mara kwa mara hata mimi hunitokea, hizi ni food particles tu ambazo zikikaa muda mrefu zinaoza. Hebu jiangalie vema kwenye kioo. Kama vitakuwa vinatoka frequency nenda kwa Dr wa meno. All the best
duuhh yani vinaboa sana mimi natamani kungekuwa na dawa ya kuviondosha kabisahata mimi aisee navichukia kweli kweli hasa nikiwa na mafua muda mrefu nikaja pona utaviona hivi hapa
AkhsanteeeeeeeeeDr. MziziMkavu pitia hapa tafadhali...
thank you so much:high5:Soma hapa utapata maelezo zaidi.What is the name of the stinky white things you cough up sometimes from your throat
Habari wapendwa! naomba kuuliza ni ugonjwa au ni kawaida kutokwa na vidude vidogo vya mgando vyenye rangi ya njano na vinatoa harufu kali sana kwenye koromeo hivi ni kitu gani hasa hiki? huwa kinakera sana naomba msaada wenu.:fear:
asante kwani wewe huwa huvipati hivi vituUchafu wa mdomo huo,piga mswaki vizuri na kusukutua kila baada ya mlo.
Mkuu mimi ilishanitokea siku moja sikushtuka kukiona kale kadude bali harufu yake ndio ilinishtua ikanifanya nitafakari sana yani Harufu yake ni zaidi ya VIMA kaka.Itakua ni misosi kimtindo ilikwama kwenye koromeo hata kwa miezi miwili au mitatu.Habari wapendwa! naomba kuuliza ni ugonjwa au ni kawaida kutokwa na vidude vidogo vya mgando vyenye rangi ya njano na vinatoa harufu kali sana kwenye koromeo hivi ni kitu gani hasa hiki? huwa kinakera sana naomba msaada wenu.:fear:
duuuh yani unatoa harufu mbaya sana mimi mara ya kwanza kukipata nilipatwa na mawazo sana bt nilipomckia my frend anazungumzia hilo nikapata kaunafuu kidogo jamani walahi navichukia sanaMkuu mimi ilishanitokea siku moja sikushtuka kukiona kale kadude bali harufu yake ndio ilinishtua ikanifanya nitafakari sana yani Harufu yake ni zaidi ya VIMA kaka.Itakua ni misosi kimtindo ilikwama kwenye koromeo hata kwa miezi miwili au mitatu.
Navipata sana na kila siku lazima nitazame kinywa changu kwenye kioo,sema ukweli vinakera sana kwa harufu ake.asante kwani wewe huwa huvipati hivi vitu
Navipata sana na kila siku lazima nitazame kinywa changu kwenye kioo,sema ukweli vinakera sana kwa harufu ake.
Jaribu siku moja utaviona huko karibu na koromeo.ina maana ukitazama kinywa kwenye kioo unaweza viona?