uchafu wa rangi ya njano wenye harufu mbaya sana kwenye koo au koromeo

twitybird

Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
69
Reaction score
8
Habari wapendwa! naomba kuuliza ni ugonjwa au ni kawaida kutokwa na vidude vidogo vya mgando vyenye rangi ya njano na vinatoa harufu kali sana kwenye koromeo hivi ni kitu gani hasa hiki? huwa kinakera sana naomba msaada wenu.:fear:
 
Hizi mara kwa mara hata mimi hunitokea, hizi ni food particles tu ambazo zikikaa muda mrefu zinaoza. Hebu jiangalie vema kwenye kioo. Kama vitakuwa vinatoka frequency nenda kwa Dr wa meno. All the best
 
hata mimi aisee navichukia kweli kweli hasa nikiwa na mafua muda mrefu nikaja pona utaviona hivi hapa
 
Nashukuru kwa jibu lako na ushauri wako mmh nilijua ni kwangu tu
 
hata mimi aisee navichukia kweli kweli hasa nikiwa na mafua muda mrefu nikaja pona utaviona hivi hapa
duuhh yani vinaboa sana mimi natamani kungekuwa na dawa ya kuviondosha kabisa
 
nilijaribu kufatilia nikajua some times ni mabaki ya chakula yanayobakia kwenye koo vikikaa kwa mda lazma kikitoka utapata harufu mbaya tu
 
Habari wapendwa! naomba kuuliza ni ugonjwa au ni kawaida kutokwa na vidude vidogo vya mgando vyenye rangi ya njano na vinatoa harufu kali sana kwenye koromeo hivi ni kitu gani hasa hiki? huwa kinakera sana naomba msaada wenu.:fear:

Uchafu wa mdomo huo,piga mswaki vizuri na kusukutua kila baada ya mlo.
 
Habari wapendwa! naomba kuuliza ni ugonjwa au ni kawaida kutokwa na vidude vidogo vya mgando vyenye rangi ya njano na vinatoa harufu kali sana kwenye koromeo hivi ni kitu gani hasa hiki? huwa kinakera sana naomba msaada wenu.:fear:
Mkuu mimi ilishanitokea siku moja sikushtuka kukiona kale kadude bali harufu yake ndio ilinishtua ikanifanya nitafakari sana yani Harufu yake ni zaidi ya VIMA kaka.Itakua ni misosi kimtindo ilikwama kwenye koromeo hata kwa miezi miwili au mitatu.
 
duuuh yani unatoa harufu mbaya sana mimi mara ya kwanza kukipata nilipatwa na mawazo sana bt nilipomckia my frend anazungumzia hilo nikapata kaunafuu kidogo jamani walahi navichukia sana
 
Na pia inasababishwa na kula vyakula vya mafuta sana hasa nyamachoma na kitimoto.yale mafuta yaelekea yana baki kooni na kuganda then siku yakitoka kwa njia yoyote yanatoa harufu mbaya.tujifunze kupiga mswaki kwa maji moto na kusugua maeneo ya kooni.
ni mawazo yangu tu
 
Wote mnatoa maelezo mazuri lakini bado sijaona tiba labda Dr MziziMkavu na Dr Riwa wanaweza saidia hapa tafadhali tunaomba michango yenu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…