Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 5, 2013 #21 Ngongo said: Wote mnatoa maelezo mazuri lakini bado sijaona tiba labda Dr MziziMkavu na Dr Riwa wanaweza saidia hapa tafadhali tunaomba michango yenu. Click to expand... charminglady said: Dr. MziziMkavu pitia hapa tafadhali... Click to expand... charminglady said: Niliona kama Dr. MziziMkavu kaitwa hapa ila kauchuna ati.... Click to expand... Mbona ameshajibiwa swali lake na mkuu.@Mupirocin
Ngongo said: Wote mnatoa maelezo mazuri lakini bado sijaona tiba labda Dr MziziMkavu na Dr Riwa wanaweza saidia hapa tafadhali tunaomba michango yenu. Click to expand... charminglady said: Dr. MziziMkavu pitia hapa tafadhali... Click to expand... charminglady said: Niliona kama Dr. MziziMkavu kaitwa hapa ila kauchuna ati.... Click to expand... Mbona ameshajibiwa swali lake na mkuu.@Mupirocin
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Dec 5, 2013 #22 sukutua "hydrogen peroxide"liquid asb na jioni 5 days
Justin Dimee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,146 Reaction score 248 Dec 5, 2013 #23 Chachu Ombara said: Navipata sana na kila siku lazima nitazame kinywa changu kwenye kioo,sema ukweli vinakera sana kwa harufu ake. Click to expand... Kitu kikioza silazimaa kinuke so nini kipya apo zaidi usafi uzingatiwee hakuna gonjwaa apo?
Chachu Ombara said: Navipata sana na kila siku lazima nitazame kinywa changu kwenye kioo,sema ukweli vinakera sana kwa harufu ake. Click to expand... Kitu kikioza silazimaa kinuke so nini kipya apo zaidi usafi uzingatiwee hakuna gonjwaa apo?