KERO Uchafu wa vyoo uliokithiri Chuo Kikuu Dodoma

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari

Naomba mtusaidie kupanza sauti kwa mamlaka zinazohusika, Kutokana na uchafu uliokithiri vyoo vya Chuo Kikuu Dodoma na hali iliyopo kwa sasa ya masika muda wowote kutatokea magonjwa ya mlipuko ambayo yataleta madhara makubwa.

Vyoo vyote hususani Humanity ni vichafu kupindukia, matundu yameziba, havina maji hali ni mbaya sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…