Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli.
Ukipita hapo pananuka haja ndogo. Ni hatari kwa afya.
Mamlaka husika mpo wapi?
Soma Pia: Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria wajisaidia kwenye ndoo
Ukipita hapo pananuka haja ndogo. Ni hatari kwa afya.
Mamlaka husika mpo wapi?
Soma Pia: Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria wajisaidia kwenye ndoo