mwanampendakaki
New Member
- Mar 28, 2013
- 1
- 1
[FONT=Times New Roman, serif]UCHAFUZI WA MAZINGIRA CHUO CHA SAYANSI NA TECHNOLOGIA NELSON MANDELA[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Kwa masikitiko tunapenda kuzungumzia suala la uchafuzi wamazingira unaofanywana Chuo kikuu cha NELSON MANDELA AFRICAN INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Chuo hiki ambacho kaulimbiu yake ni Academia for Society and Industry kimekuwa kikichafua [/FONT][FONT=Times New Roman, serif]mazingira kwa kumwaga maji yenye kinyesi yanayotoka kwenye septic tanks na kuyaelekeza kwenye [/FONT][FONT=Times New Roman, serif]mitaro ya maji ya mvua (storm water drain) inayopita kwenye nyumba za wanafunzi na kuelekea kwenye shule ya chekechea iliyopo jirani na chuohicho. Cha kustaajabisha chuo hicho huwa kinatumia pump kukusuma uchafu huo kuelekeza kwenye mitaro hiyo na zoezi hilo hufanyika kila baada ya siku 3 au 4. Uchafu huo huwa unaambatana na harufu kali ya kinyesi na pia inahatarisha afya ya watu wanaoishi chuoni hapo na pia inahatarisha maisha ya watoto na walimu waliopo kwenye shule ya chekechea. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Kinachoshangaza chuo hicho cha Nelson Mandela, kina wataalam wa aina zote kuanzia maprofessor wa biolojia, maproffessor wa maji na mazingira (wahandisi wa maji na mazingira, wahandisi wa ujenzi) na wengineo lakini wameshindwa kutumia utaalam na ujuzi wao kutatua tatizo hilo ambalo limedumu kwa muda mrefu. Kwakwe hii inakatisha tama kuona kuwa management na jopo la wataalam hao wameshindwa kuona athari ya tatizo hilo na hivyo kulifumbia macho. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Kauli mbiu ya Chuo cha Nelson Mandela ni[/FONT][FONT=Times New Roman, serif]Academia for Society and Industry[/FONT][FONT=Times New Roman, serif]Sasa tungependa kuwauliza wanachuo hao, hivyo wanavyochafua mazingira kwa kumwaga maji yenye kinyesi kuelekeza kwenye jamii inayozunguka chuo hicho, je hiyo ndiyo[/FONT][FONT=Times New Roman, serif]Academia for Society and Industry?[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Ukifika kwenye chuo hicho utakutana na majengo mazuri ya kuvutia yaliyojengwa kisasa na hivyo ukashindwa kuamini kuwa chuo chenye jina kubwa la Nelson Mandela kinaweza kufanya kitu cha fedheha kama hicho. Hii inathibitisha kuwa watanzania siku zote hawapo serious wao kila kitu wanachofanya nilazima wachakachue tu!! Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la Tanzania, kwani inaonyesha kuwa watanzania most of the time wanachojua ni kuharibu tu.[/FONT]
[FONT=Times New Roman, serif]Tunaomba mamlaka husika zifuatilie hali ya mazingira ya chuo hicho na sheria ichukue mkondo wake, ikiwezekana chuo hicho kifungwe hadi hapo watakapoweza kutatua tatizo hilo.[/FONT]