AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Wadau najaribu kufikiri kwa kina bila kupata majibu sahihi katika hili,katika kipindi cha miaka nane ya Tenga Tuliona TFF ikipiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika sura la utawala ,kwa maana alifuata kile kinachosemwa utawala bora wa kufuata sheria na kuzingatia maadili ya uongozi ,ndio maana hadi anamaliza muda wake hakujawahi,na hakuna tuhuma zozote zile juu yake,si katika dhana ya kuwa mla rushwa au katika kosa lolote lile ambalo lingeweza kumtia doa mzee huyu wa kichaga(mtanirekebisha kama nimekosea),miaka yake nanae ikapita tukishuhudia mengi ya kukumbukwa.
Ikaja miaka minne ya ndugu Jamali Emil Malinzi,huyu mzee amefanya yake kwa uwezo wake lakini anamaliza miaka yake minne ambayo ni nuu tu ya ile ailiyokaa mzee tenga anaicha TFF ikunuka ufisadi kila kona,kuanzia kwa Rais hadi Mfagia Ofisi,kote huku kumetapakaa ufisadi usio na kiwango na usio elezeka.
Najaribu kuuoanisha mambo hayo waliyoyafanya hao wakubwa na makabila yao ambayo kwa namna moja au nyingine aidha rasmi au sio rasmi yamekuwa yakipigiwa upatu kuwa na mambo yanayoshabihiana na aliyoyafanya ndugu malinzi(japo siamini kama ukabila unaasilimia kubwa kwa aliyoyafanya malinzi),makabila hayo yanasadikika kuwa ni watu wenye kujipenda wao tu(inasemekana TFF ya Malinzi Ilijaa wahaya tu sijui ya Tenga Ilikuaje),inasadikika kuwa ni watu anaoweka pesa mbele kuliko uhai wao(TFF ya Malinzi imedhihirisha hilo,sijui ya Tenga Ilikuaje),ni watu wanaojinata sana,yani kuringa kuliko uhaliia wa wanachoringia(TFF ya Malinzi iliridhihirisha hilo,sijui ya Tenga),.
Kwa mantiki hiyo na kwa mtazamo wangu,naona kabisa TFF ya Mchaga Tenga ilikuwa bora mara 70 ya TFF ya Mhaya Malinzi,swali wewe unamtazamo gani?