Uchaguzi 1995: Kumbe Jakaya Kikwete alikuwa kwenye rada za CHADEMA

Uchaguzi 1995: Kumbe Jakaya Kikwete alikuwa kwenye rada za CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kufunguka kwamba kundi lake lilitaka kuanzisha chama baada ya kuenguliwa kugombea Urais Kupitia CCM Mwaka 1995, Gazeti la Raia Mwema linadokeza kwamba Mpango wa kundi la Boyz to Men ilikuwa kujiunga Chadema.

Taarifa hii imenifanya niiamini, kwa sababu, isingewezekana akina Kikwete kuanzisha chama baada ya kura za maoni za CCM na kukisajili na kisha kuwahi Uchaguzi wa 1995, kwa maana hiyo kama jambo hili lingefanikiwa, basi Mzee Kikwete angekuwa wa kwanza kujiunga Chadema na angewapiku Lowassa na Sumaye.

Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram%3A_%E2%80%9CMwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana...jpg
 
Chadema walimtaka Lyatonga Mrema ila aliwakatalia kwa sababu kingeomekana ni Chama cha Kikabila
 
1995 CDM kilikuwa na nguvu kiasi Gani kulinganisha na CUF na NCCR ?
 
Ridhiwani Kikwete alipohojiwa na gazeti la mwananchi alisema kuwa babu yake (baba yake na JK) alimuambia amlinde JK asije kwenda nje ya CCM kwani baada ya ule mchakato watu wa vyama pinzani walianza kumnyemelea.
 
Weeee !!!
 
Back
Top Bottom