Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
- Pamoja na CCM kushinda, bado historia inatakiwa kuwaandika Wapinzani na hasa Chadema kuwa ndio hasa washindi wa uchaguzi wa mwaka 2010.......
Jamaa anasema Mwanza hakuna upinzani mkali ... mpaka sasa Mkoa wa Mwanza majimbo 3 yameenda upinzani. Wengine wa Sumve na Buchosa bado wamekaliwa kooni mpaka kieleweke
Hili hitimisho ni mapema sana kulifikia kwa sababu mwaka 1995 Agustine Mrema alipata kura za Uraisi asilimia 38 rekodi ambayo JK kwa mtandao wake wa kuyachakachua matokeo ya Uraisi atahakikisha Dr. Slaa hataweza kuifikia hata chembe..................Mafanikio ya Chadema yatakuwa kwa wabunge kwani hadi hivi sasa tayari wamekwisha kuweka kibindoni wabunge 25 lakini siyo rahisi kumpa pongezi Dr. Slaa peke yake hapo kwa sababu wagombea pia walikuwa na mvuto kwa wapigakura................- Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania.
-William tumekumiss sana hapa JF na tulikutegemea kuja kugombea angalau kiti kimoja kama ulivyokuwa umetuahidi kuwa wajitayarisha kuja kugombea, nini kilikusibu?- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama ule usingizi fo! fo! fo! waliokuwa nao zamani. Ukiangalia kwa undani sana utagundua katika sehemu nyingi za uchaguzi, joto ya jiwe ilikuwa ni CCM against CCM yenyewe, ingawa pia Chadema wanastahili pongezi sana kwa juhudi zao nzito hasa za dakika za mwishoni za kuwafikia wanachi wengi walioko vijijini na hasa miji midogo.
- Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania.
- Pamoja na kwamba matokeo kamili hayajasemwa rasmi, sio siri kwamba wapinzani hasa Chadema, wamefanikiwa sana katika kujiwekea imani na wanachi. Vita vikubwa vya CCM against CCM vimeisadia sana Chadema na wapinzani wote na linapaswa kua fundisho kwa CCM kwamba wakati ni huu wa kujirekebisha ama sivyo watarekebishwa zaidi kwa kura za wananchi 2015.
- Pamoja na CCM kushinda, bado historia inatakiwa kuwaandika Wapinzani na hasa Chadema kuwa ndio hasa washindi wa uchaguzi wa mwaka 2010, ninapenda kutoa heshima zangu za dhati kwa Wapinzani wote Tanzania, na hasa Chadema kwa kazi nzito na welldone. Ni wakati wa CCM kurudi nyuma na kutafakari na kujirkebisha au kusubiri kurekebishwa zaidi na kura za wananchi 2015.
Ahsanteni Wandugu, na Mungu Aibariki Tanzania.
William.
futa kwanza kauli yako mzee ..ukidai ccm againts ccm unakuwa hueleweki,ila nakubaliana na point yako kuwa dr Slaa wa ukweli ameshaingia kwenye historia ya Tanzania kwa kuwa mpinzani wa kwanza kuingia madarakani .right?
- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama ule usingizi fo! fo! fo! waliokuwa nao zamani. Ukiangalia kwa undani sana utagundua katika sehemu nyingi za uchaguzi, joto ya jiwe ilikuwa ni CCM against CCM yenyewe, ingawa pia Chadema wanastahili pongezi sana kwa juhudi zao nzito hasa za dakika za mwishoni za kuwafikia wanachi wengi walioko vijijini na hasa miji midogo.
- Dr. Slaa, ni lazima aende ndani ya vitabu vya historia kama shujaa aliyewahi kuipigisha magoti CCM, tena single handed as Dr. Slaa, yes I sad it, single handed as Dr. Slaa. Matokeo ya uchaguzi wa jana yanamuweka Dr. Slaa juu ya wapinzani wote waliowahi kutokea na kuishi siasa za upinzani katika historia ya taifa letu, Mungu ambarikie na Aibariki Tanzania.
- Pamoja na kwamba matokeo kamili hayajasemwa rasmi, sio siri kwamba wapinzani hasa Chadema, wamefanikiwa sana katika kujiwekea imani na wanachi. Vita vikubwa vya CCM against CCM vimeisadia sana Chadema na wapinzani wote na linapaswa kua fundisho kwa CCM kwamba wakati ni huu wa kujirekebisha ama sivyo watarekebishwa zaidi kwa kura za wananchi 2015.
- Pamoja na CCM kushinda, bado historia inatakiwa kuwaandika Wapinzani na hasa Chadema kuwa ndio hasa washindi wa uchaguzi wa mwaka 2010, ninapenda kutoa heshima zangu za dhati kwa Wapinzani wote Tanzania, na hasa Chadema kwa kazi nzito na welldone. Ni wakati wa CCM kurudi nyuma na kutafakari na kujirkebisha au kusubiri kurekebishwa zaidi na kura za wananchi 2015.
Ahsanteni Wandugu, na Mungu Aibariki Tanzania.
William.
bwa ha ha ha ha kigeu geu huyo...sasa utamsikia anasema mnyika ni mshikaji wake wa siku nyiiiingi....pheew-William mbona hujatushukuru kwa kumuondoa Masha?????????
bbbwwaahahaaaaaaa.... hahahaaaa... UMEPATIA SANAbwa ha ha ha ha kigeu geu huyo...sasa utamsikia anasema mnyika ni mshikaji wake wa siku nyiiiingi....pheew
- Mkuu uko sawa sana, unajua ni mapungufu yangu tu kama bin-adam nikasahau hilo ni kweli sana Jamii forums played a big role, unajua nimeshitushwa sana na the last three days tulipokuwa kwenye mjadala wa yule dada wa kizungu,
- I mean hundreds of people wamini-contact through that topic I was shocked, mkuu uko right JF inahitaji pongezi sana na huu muamko wa wananchi, na ninasema haya toka moyoni mwangu.
William.