Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Mwaka huu duh! Kuna kazi kweli kweli. Wagombea urais wawili wakuu wanaochuana vikali katika kampeni yaani JK wa CCM na Dr Slaa wa Chadema wote wawili wamejikuta wanafunguliwa kesi za madai mahakamani. JK anashitakiwa na Mwalimu mmoja ambaye anapinga uteuzi wake kwa sababu hana sifa za kuwa rais!!
Na huyu wa pili, Dr Slaa naye amefunguliwa kesi na mtu mmoja ambaye anadai amemchukulia mke wake!!
Inakaa vipi hii kwani haijapata kutokea huko nyuma hata siku moja.