Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Mwaka huu duh! Kuna kazi kweli kweli. Wagombea urais wawili wakuu wanaochuana vikali katika kampeni – yaani JK wa CCM na Dr Slaa wa Chadema wote wawili wamejikuta wanafunguliwa kesi za madai mahakamani. JK anashitakiwa na Mwalimu mmoja ambaye anapinga uteuzi wake kwa sababu hana sifa za kuwa rais!!
Na huyu wa pili, Dr Slaa naye amefunguliwa kesi na mtu mmoja ambaye anadai amemchukulia mke wake!!
Inakaa vipi hii – kwani haijapata kutokea huko nyuma hata siku moja.

Loh! Hii ya huyo mwalimu mbona imekaa hivyo -- ati Muungwana hafai kuwa Rais! Nimesoma humu JF habari hiyo, na ilishangaza yule Jaji (wa CCM) alipoonyesha tangu mwanzo ataamua vipi kesi hiyo ili kuridhisha mabwana zake! Kabla hajasikiliza ushahidi, akaanza kuhoji kwa kusema "Eti JK hafai?"
Mwaka huu duh! Kuna kazi kweli kweli. Wagombea urais wawili wakuu wanaochuana vikali katika kampeni – yaani JK wa CCM na Dr Slaa wa Chadema wote wawili wamejikuta wanafunguliwa kesi za madai mahakamani. JK anashitakiwa na Mwalimu mmoja ambaye anapinga uteuzi wake kwa sababu hana sifa za kuwa rais!!
Na huyu wa pili, Dr Slaa naye amefunguliwa kesi na mtu mmoja ambaye anadai amemchukulia mke wake!!
Inakaa vipi hii – kwani haijapata kutokea huko nyuma hata siku moja.
Kwa upande wa huyo mwalimu, kesi ni ya msingi, lakini itatupiliwa mbali.
Kwa upande wa Dk. Slaa, hii ndiyo tathmini yangu.
Ama kweli aliyefilisika hoja atavamia hoja yoyote ile!
-> Mwana wa Haki
N hivi ndivyo ilivyo, debe tupu haliachi kutiika, kibaya hakiachi kujitembeza, huna hoja, bora upayuke! Hii ndio desturi ya mshndwa!
Mnaogopa, eee? Na bado! Hahahaha! Wadanganyika si wadanganyika tena! Hahahaha!
Huyu mahimbo ndio bure kabisa mke hakutaki unalazimisha nini?si utafute mke mwingine au.?maharinyenyewe ukiukizwa ukikipa mbuzi wawiki wa vingungutinhata elfu 60 hawafiki halafu unataka billion moja.....