Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Nimekupa 5 hapo juu.
1. Ukimchagua Kikwete: ama wewe ni mjinga/juha usiyejua kitu au una maslahi yasiyo halali unataka kuyalinda.
2. Ukimchagua Dr. Slaa: wewe ni mwerevu, unataka mabadiliko kupata changamoto mpya chini ya serikali mpya
Hatimaye Mwenyezi Mungu atafanya majumuisho.
Asilimia atakazopata JK zitaashiria ujinga/ujuha na ufisadi wa Watanzania.
Asilimia atakazopata Slaa(PhD) ni kipimo cha werevu na ukomavu wa kifikra wa Watanzania.
Kazi kwenu Watanzania.
Tanzania itahukumiwa kwa kile Watanzania wataamua kesho.
Itikadi hizi za ubaguzi na ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa zimeigharimu CHADEMA katika uchaguzi huu na zitaendelea kuigharimu hadi itakapo kufa. Hivi ina maana lazima watu wote wamuunge mkono mgoni tu? kwa style hii, naelewa kwa nini CHADEMA haikubaliki hata na wapinzani wengine maana wanajua uwepo wao utakuwa matatani ikitokea CHADEMA ikashinda.
unachosema ni kweli tupu,ila naamini asilimia ya ujuha bado ni kubwa kuliko werevu na ukomavu,bado watanzania hawafundishwi na hali yao ya maisha.Bado wanakubali uongo wa CCM na pengine kudhani kuwa umaskini na hali zao duni zinaletwa na Mungu.:israel:
CCM inawabembeleza wale wanaoinyima kura ili wakati nge la wahunimwingine waipe< CHADEMA inawatukana wale wasioipa kura...tofauti kati ya chama na genge la wahuni
Naked
Itikadi hizi za ubaguzi na ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa zimeigharimu CHADEMA katika uchaguzi huu na zitaendelea kuigharimu hadi itakapo kufa. Hivi ina maana lazima watu wote wamuunge mkono mgoni tu? kwa style hii, naelewa kwa nini CHADEMA haikubaliki hata na wapinzani wengine maana wanajua uwepo wao utakuwa matatani ikitokea CHADEMA ikashinda.
CCM inawabembeleza wale wanaoinyima kura ili wakati nge la wahunimwingine waipe< CHADEMA inawatukana wale wasioipa kura...tofauti kati ya chama na genge la wahuni
Crap 1 |krap| vulgar slang
noun
1 something that is of extremely poor quality.
• nonsense.
• rubbish; junk.
2 excrement.
• [in sing. ] an act of defecation.
mtu yeyote anayetetea ccm ni mjinga. huwezi kumpa kura mwizi hata siku moja! it is that simple!
sawa CHADEMA asili