Elections 2010 Uchaguzi 2010: money, tricks and dirty games....

Elections 2010 Uchaguzi 2010: money, tricks and dirty games....

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
mimi naona jeikei haitaji kura za wafanyakazi..............

HAZINA MAANA SANA KWAKE,kwasababu wafanyakazi wenyewe ni wachache sana ukilinganisha na watanzania wengi wenye njaa zao......

sasa kwa vile jeikei orede ameshika mpini,anahitaji mbinu kubwa tatu:
1-money
2-tricks
3-dirty games

jamaa zenu tukta WAMESHAMSOMA,na wameona in a long run ITAKULA KWAO!wameamua wanyooshe (wanaogopa kutokumbukwa kwenye ufalme wa jeikei 2010-2015)

jeiefu kama kawaida kelele mingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,halafu KIMYA KIKUU KINAFUATA!

ushauri:mods wangelifunga jukwaa la uchaguzi na jukwaa la politiks,maanake ninaona kama tunapotezeana muda.wangeweka jukwaa la malavidavi MARA MBILI ZAIDI.

mpaka sasa orede tunajua raisi ni nani,kwanini tupoteze muda?
 
Back
Top Bottom