.MWANAHAKI ina maana haukuona jinsi yule mwendeshaji wa kipindi alivyo kuwa akmitetemekea huyo mama aliyepandsha wa CCM kiasi cha waliohdhuria kuanza kumzomea ndipo akapata ujasiri wa kuchukua role ya kuongoza kipindi kwa kutoa haki saswa kwa wagombea wote?
....Pamoja na TBC kukatiza matangazo hayo na Mkurugenzi wake Tido Mhando, amelitolea ufafanuzi, wale ambao sio washabiki maandazi, tumemuelewa na tunaungana na TBC katika kuhamasisha kampeni za kistaarabu...
Pamoja na kilichotokea jana, tutumie fursa hii kuyaangazia mazuri ya TBCWanabodi,
Tangu kuanza kwa kampeni, Ijumaa iliyopita, ni jana, leo na kesho, ndio nimepata nafasi kutulia nyumbani kufuatilia uchaguzi kwenye Electronic Media.
Jana nimeshuhudia TBC ikionyesha live uzinduzi wa kampeni za CUF, na leo nimeshuhudia Live ya uzinduzi wa kampeni ya Chadema.
Nimedokezwa TBC imetenga masaa 4 kwa kila chama kutangaziwa uzinduzi wa kampeni na ufungaji wa kampeni zao.
Pamoja na TBC kukatiza matangazo hayo na Mkurugenzi wake Tido Mhando, amelitolea ufafanuzi, wale ambao sio washabiki maandazi, tumemuelewa na tunaungana na TBC katika kuhamasisha kampeni za kistaarabu.
Pongezi hizi nazitoa kufuatia saa hizi, nashuhudia live ya kipindi kingine kipya kiitacho Mchakato Majimboni. Hiki ni kipindi cha mdahalo live kati ya wagombea ubunge jimbo kwa jimbo wakijieleza live.
Kitendo hiki cha TBC kuvipa nafasi sawa vyama vyote, ni jambo la kustahili pongezi.
Kwa mfano Channel Ten kwa muda mrefu imekuwa TV huru isiyo na upendeleo. Leo kwenye news zote, uzinduzi wa kampeni za Chadema ndio umekuwa lead story, lakini kwenye news za Channel Ten, leo yao ni muendelezo wa kampeni ya CCM. Inawezekana upendeleo huu maalum, unafuatia umiliki wa Tanil na RA kwenye kituo hicho, hivyo kwa sasa TV huru ya uchaguzi, imebaki ni TBC Pekee.
Big Up TBC!.
Duh...!, utadhani ni jana, hii ni 10-years back!.What are you trying to say bro? Tafsiri ya kampeni za kistaarabu ni nini? Na ni nani anaweka hizo criteria? Muda mwingine tunatumia misamiati mizuri sana kujustify matendo machafu, kwa hiyo TBC ni chombo kinachocensor maneno watu watamkayo? Na hiyo inafanyika tu pale CHADEMA wanapoyatamka? Pale ambapo wapinzani wanatukanwa kwenye majukwaa ya kampeni za CCM tafsiri ya ustaarabu inabadili maana? Hizi double standards muda mwingine tujaribu kuziangalia, maana zinatupotezea credibility za uchambuzi. Sheria ziko wazi, kama kuna matusi aliyetoa anaweza kupelekwa mahakamani kuliko TBC kuanzisha mahakama yake. Hii kwa maoni yangu haistahili kutetewa, hata na ninyi washabiki wa kichapati, acha wale washabiki maandazi!!!
Duh Kigogo enzi hizo kabla hawajawa jigogo!, au ligogo!.wamenichefua sana TBC leo..yaani natamani kutapika kwa kitendo walichokifanya leo
Nashukuru kwa uzi wako, natumai bwana mayala siku chache zijazo utakuja na uzi mfano wa huu, kucriticize TBC na uongo wao wa kichama
Wewe si iendelee kusikiliza ukweli na uhakika kutoka TBC au ianzishe ya kwako kwakuwa unajiona ni nguli kuliko nguli wa BBC.
Haikosoi TBC hata mara moja anaikosoa BBC.
Heeeee! eti BBC!!! Yaani watu hawaoni fyongo, uzushi na upotoshaji wa TBC ya Ayoub wanaona ya London
''Ondoa kibanzi kwenye jicho lako ndipo uondoe boriti .....''
JokaKuu
Karibuni.Uwezo wako ni wakukosoa TBC tu... Huko pengine sio level yako... Kwanza mabeberu ni wakina nani?
Luka 8:27-39 Yesu anataka u"Rudi nyumbani ukaeleze yote MUNGU aliyokutendea"Pamoja na kilichotokea jana, tutumie fursa hii kuyaangazia mazuri ya TBC
Kilichotokea jana pale Mbagala Zakhiem, kwenye mkutano wa uzinduzi kampeni za Chadema, party ni hiki kilichozungumzwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayub Rioba, 3-years ago
Dr. Rioba alisema TBC itafanya kazi na vyama vyote. Kama TBC imetuma team ya live kutangaza live mkutano wa Chadema, halafu Mwenyekiti wa Chadema akawafukuza live on TV kwa kuwatuhumu kuzima matangazo huku wakiwa live on air!. This is not right at all!.
TCRA watoe muongozo kwa vyama vyote vya siasa wakiwa live wazungumzie nini na wasizungumzie nini, ili wasikatwe wakiwa live.
Kitendo cha kuwafukuza TBC sio cha Kistaarabu kwa sisi media kufukuzwa kama mbwa kuonyeshea hutakiwi!.
Huku sio kujitendea haki Chadema kama chama, sio kuwatendea haki wanachama wao na kikubwa zaidi sio kuwatendea haki Watanzania kwa ujumla kukosa fursa ya kusikia sera za Chadema, hivyo kukichagua,haswa kwa kuzingatia TBC ndio the only FTA television Tanzania yenye the widest coverage.
P
Una mtafuta eeeeh [emoji2][emoji2][emoji2]Duh Kigogo enzi hizo kabla hawajawa jigogo!, au ligogo!.
P
Heshima ni kitu cha bure, people are doing their best, kuita uchafu sio kuwatendea haki!.Pendekezeni tukatwe hata laki kwa siku, lakini hatutakuwa na muda kusikiliza wala kujivunia huo uchafu.