Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: Jimbo la Mtera Ubunge CCM wapo 18 , wagombea wamhofia Mwenyekiti CCM Wilaya kumpigia kampeni Lusinde

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Naona watu wamemchoka Lusinde ! Darasa la 4 muda aliochuma unamtosha. Hizi siyo zama za Mbunge kutukana , kuleta porojo na kuchekesha watu Bungeni badala ya kudeal na mambo yanayowagusa wanaMtera.

Kuna wasomi wazuri kabisa tena vijana ambao wamegombea , japo rushwa imetamalaki sana, Lusinde anawapa wajumbe pesa nje nje ili wampitishe.

Kibaya zaidi , Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndg. Gombo yupo pamoja na Lusinde tokea 2010. Anakula rushwa taratibu tu. Na inasemekana tayari wana matokeo yao.

Hivi karibuni Lusinde alijitapa kuwa lile jimbo hata aende Waziri Mkuu hatashinda, yeye anawajua wagogo wake!

Tuna matumaini yetu kuwa vikao vitatenda haki walau tupate Mbunge anayejielewa na aliyeenda shule ili akawasemee wananchi wake.

Tunashukuru Takukuru mpo macho kama mbwa wa askari.
 
Naona Safar hii vifo vya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi havijaanza bado au wanasubiri campaign waanze mambo Yao
 
Naona watu wamemchoka Lusinde ! Darasa la 4 muda aliochuma unamtosha. Hizi siyo zama za Mbunge kutukana , kuleta porojo na kuchekesha watu Bungeni badala ya kudeal na mambo yanayowagusa wanaMtera.

Kuna wasomi wazuri kabisa tena vijana ambao wamegombea , japo rushwa imetamalaki sana , Lusinde anawapa wajumbe pesa nje nje ili wampitishe.

Kibaya zaidi , Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndg. Gombo yupo pamoja na Lusinde tokea 2010. Anakula rushwa taratibu tu. Na inasemekana tayari wana matokeo yao.

Hivi karibuni Lusinde alijitapa kuwa lile jimbo hata aende Waziri Mkuu hatashinda, yeye anawajua wagogo wake!

Tuna matumaini yetu kuwa vikao vitatenda haki walau tupate Mbunge anayejielewa na aliyeenda shule ili akawasemee wananchi wake.

Tunashukuru Takukuru mpo macho kama mbwa wa askari.
Sasa Nani atawachamba wabunge wa upinzani bungeni?
 
Kweli dunia imekwisha na mtoto wa maria anakaribia kurudi. Eti CCM sasa hivi wanahofia rushwa katika vikao vyao, wakati wao ndio waasisi wakubwa wa rushwa na ufisadi nchi hii.
 
Back
Top Bottom