ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Kwa mjibu wa vyanzo vyangu binafsi vinanimbia wabunge wa upinzani hawatarudi bungeni mwakani na baadhi wanaompinga bwana yule. List ni ndefu. Na hawa wawili walioko Mahabusu ndo washa wekewa alama nyekundu toka kitambo. Na kuna mtu mzito anaweza kusahaulika kabisa.
Inshort Watapigwa chenga moja hatari sana na hawa wabobezi wa vyenga. Mkakati uliopo mezani ni kuwa hakuna kiongozi wa upinzani atatokea mjengoni mwakani. Ni suala la kusubiri muda tu ufikie.
Mwisho wa demokrasia nchini ni 2020. Na hii inaratibuiwa na wasomi ambao awali waliaminiwa na wananchi na walikuwa wakipiga kelele kila dakika kwenye vyombo vya habari mara demokrasia mara katiba ila sasa wamegeukia matumbo yao.
Mwaka 2020 unaweza kuwa ni mwaka wa Neema au balaa kubwa. Tuendelee kuliombea Taifa mana hata viongozi wa dini watabaliki haya mabadiliko baada ya kutumiwa na kutishwa kutenda yale wayatakayo na ukizingatia wameanza kunywa chai.
Jioni Njema